-
Hizbullah: Marekani, Saudia wahusika wakuu wa vita vya kiuchumi dhidi ya Lebanon
Jan 15, 2022 23:14Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbuullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, Marekani na Saudi Arabia zimeanzisha vita vya kiuchumi dhidi ya Lebanon.
-
Rais wa Lebanon: Tunahitaji miaka 7 kutoka kwenye hali mbaya tuliyonayo sasa
Dec 25, 2021 07:39Rais Michel Aoun wa Lebanon amesema, nchi hiyo inahitaji muda wa miaka sita hadi saba kutoka kwenye hali mbaya inayokabiliana nayo hivi sasa.
-
Umoja wa Mataifa wawataka viongozi wa Lebanon kutanguliza mbele matakwa vya wananchi
Dec 20, 2021 04:20Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewataka viongozi wa Lebanon kufanya kazi kwa pamoja ili kutatua migogoro iliyopo nchini humo, huku akitoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuisaidia na kuiunga mkono Lebanon kutokana na matatizo yake ya sasa.
-
George Kordahi: Sina cha kujutia; ndio kwanza majukumu yangu ya kisiasa yameanza
Dec 15, 2021 23:25Waziri wa zamani wa Habari wa Lebanon aliyejiuzulu hivi karibuni amesema kuwa, hana cha kujutia kwa matamshi yake ya huko nyuma ya kuviona vita vya Saudi Arabia huko Yemen kuwa ni vya kipuuzi na visivyo na maana.
-
George Kordahi: Sikuwa mtu wa kwanza kuviona vita vya Saudia huko Yemen kuwa ni upuuzi
Dec 06, 2021 09:18Waziri wa zamani wa Habari wa Lebanon aliyejiuzulu hivi karibuni amezungumza kwa mara yaa kwanza katikka mahojiano tangu ajiuzulu na kueleza kwamba, yeye hakuwa mtu wa kwanza kuviona vita vya Saudi Arabia huko Yemen kuwa ni vya kipuuzi na visivyo na maana.
-
Waziri wa Lebanon aliyekosoa hujuma ya Saudia Yemen ajiuzulu
Dec 04, 2021 01:12Waziri wa Habari wa Lebanon George Kordahi amejiuzulu ili kupunguza mgogoro wa nchi yake na Saudi Arabia baada ya kauli yake ya kukosoa vita vya Saudia dhidi ya Yemen.
-
Russia: Lebanon haipasi kufanywa mahali pa kukomoana na kulipiziana visasi nchi zingine
Nov 22, 2021 23:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema, ana matumaini serikali mpya ya Lebanon itaweza kuhitimisha mgogoro wa muda mrefu wa kisiasa na akataka nchi hiyo isitumiwe kuwa mahali pa nchi zingine kukomoana na kulipiziana visasi.
-
George Kordahi: Hizbullah ndio tatizo hasa kwa Saudia katika uhusiano wake na Lebanon
Nov 19, 2021 08:17Waziri wa Habari wa Lebanon amesema, tatizo hasa la Saudi Arabia na nchi yake halitokani na matamshi aliyotoa yeye hivi karibuni, bali linahusiana na harakati ya muqawama ya nchi hiyo, Hizbullah.
-
Hizbullah: Saudia inataka kuudhoofisha muqawama Lebanon
Nov 15, 2021 08:13Afisa mwandamizi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema lengo kuu la Saudi Arabia kuibua mzozo wa kidiplomasia baina ya Lebanon na nchi za Ghuba ya Uajemi ni kudhoofisha mrengo wa muqawama na kulipigisha magoti taifa hilo la Kiarabu.
-
Sayyid Nasrullah: Nchi za Kiarabu zimekiri kwamba Syria imeibuka na ushindi
Nov 12, 2021 04:22Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa nchi za Kiarabu hatimaye zimekiri kwamba Syria imeibuka na ushindi.