-
Iran yakamilisha oparesheni ya kuwatuma waumini kwenda Hija
Jul 03, 2022 09:24Mkuu wa oparesheni ya kuwabeba Wairani wanaoenda kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu amesema oparesheni hiyo inakamilika usiku wa leo.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa Mahujaji; kujibari na washirikina fursa kwa ajili ya mataifa madhulumu ya Waislamu
Aug 11, 2019 10:52Marasimu ya kujibari na kujiweka mbalii na washirikina yalifanyika jana Jumamosi katika jangwa la Arafa kwa kusomwa ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu na Waislamu wote.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa Mahujaji wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu 1439 Hijria + Sauti
Aug 20, 2018 08:45Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema katika ujumbe wake uliosomwa leo kwa Mahujaji wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu kwamba sera za Marekani ni kuchochea vita baina ya Waislamu na akasisitiza kwamba: inapasa kuzizima sera hizo za kishetani kwa umakini na kuwa macho na kwamba Hija na kujibari na washirikina vinawezesha kupatikana umakini huo.
-
Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi kwa Mahujaji: Sera za Marekani ni kuchochea vita na kuwaulisha Waislamu wenyewe kwa wenyewe
Aug 20, 2018 08:15Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema katika ujumbe wake kwa Mahujaji kwamba sera za Marekani ni kuchochea vita baina ya Waislamu na akasisitiza kwamba: inapasa kuzizima sera hizo za kishetani kwa umakini na kuwa macho na kwamba Hija na kujibari na washirikina vinawezesha kupatikana umakini huo.