-
Maldives kuwapiga marufuku Waisraeli kuingia nchini humo
Jun 03, 2024 11:29Maldives imetangaza kuwa itawapiga marufuku wenye paspoti za utawala haramu wa Israel kuingia katika visiwa hivyo vinavyopatikana katika Bahari ya Hindi.
-
Spika wa Maldives mahututi baada ya kujeruhiwa vibaya katika mripuko wa bomu
May 07, 2021 15:07Rais wa zamani wa Malidives ambaye ni Spika wa sasa wa bunge la nchi hiyo Mohamed Nasheed amejeruhiwa vibaya katika mripuko wa bomu uliotokea mbele ya nyumba yake katika mji mkuu wa nchi hiyo Male.
-
Taharuki yashtadi Maldives, rais wa zamani akamatwa, hali ya hatari yatangazwa
Feb 06, 2018 07:12Masaa machache baada ya Rais wa Maldives kutangaza hali ya hatari, rais wa zamani wa kisiwa hicho ametiwa mbaroni.