-
Mchungaji UK: Uislamu uko karibu na Issa AS zaidi kuliko Ukristo
Feb 22, 2016 03:36Mchungaji mmoja nchini Uingereza amesema kuwa, mafundisho ya Kiislamu yako karibu na yale aliyoyafunza Yesu yaani Nabii Issa AS, kuliko mafundisho mengi yanayotolewa katika Makanisa ya Magharibi.