-
Manusura wa mauaji ya halaiki ya Oromia wasimulia: Watu waliuawa kama kuku
Jun 21, 2022 02:45Mwangwi wa mauaji ya halaiki yanayodaiwa kufanywa na waasi dhidi ya raia ambao wengi wao ni kutoka kabila la Amhara huko Ethiopia unaendelea kusikika huku baadhi ya manusura wakieleza jinsi mauaji hayo ya kutisha yalivyofanyika.
-
Mashirika ya Ujasusi ya Marekani yamkana Biden; yasema: Russia haijafanya mauaji ya kimbari Ukraine
Apr 16, 2022 10:27Mashirika ya kijasusi ya Marekani yamesema kuwa, hayajapata ushahidi wowote wa kuthibitisha madai ya rais wa nchi hiyo Joe Biden kuwa Russia imefanya mauaji ya kimbari nchini Ukraine.
-
Kukiri Ujerumani kwamba ilihusika na mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Namibia, ushahidi mwingine wa jinai dhidi ya binadamu za nchi za Magharibi
May 29, 2021 14:10Kwa mara ya kwanza kabisa Ujerumani imekiri kwamba, ilifanya mauaji ya kimbari dhidi watu wa Namibia katika kipindi cha ukoloni wa nchi hiyo barani Afrika.
-
Macron akiri, Ufaransa ilihusika katika mauaji ya kimbari ya Rwanda mwaka 1994
May 28, 2021 07:12Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amekiri kwamba, nchi yake ilihusika katika mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda.
-
Palestina: Silaha za Israel zimetumika kuua Waislamu na wapinzani wa mapinduzi Myanmar
Mar 04, 2021 04:15Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Palestina imeituhumu Israel kuwa inauuzia silaha utawala wa Myanmar ambazo zimetumika kuua Waislamu wa jamii ya Rohingya na vilevile kuua wapinzani wa mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea nchini humo, licha ya marufuku ya kimataifa ya kuiuzia silaha nchi hiyo.
-
The Observer yahoji: Walikuwa wapi waandamanaji wa sasa huko Myanmar wakati wa mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Rohingya?
Feb 23, 2021 02:48Gazeti la The Observer linalochapishwa nchini Uingereza limeandika makala kuhusu maandamano makubwa yanayoendelea nchini Myanmar kupinga mapinduzi ya kijeshi yaliyoiondoa madarakani serikali iliyochaguliwa kwa njia za kidemokrasia na kuhoji kuwa, walikuwa wapi waandamanaji hao katika kipindi chote cha miaka minne ya mauaji ya kimbari yanayofanywa na jeshi la nchi hiyo likishirikiana na Mabudha wenye misimamo mikali dhdi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya?
-
Rusesabagina asema alihadaiwa na kupelekwa Rwanda badala ya Burundi
Sep 18, 2020 10:41Paul Rusesabagina anayejulukana kama Shujaa wa filamu ya 'Hotel Rwanda' inayosimulia kisa cha mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda, anasema kuwa, aliamini alikuwa akisafiri kwenda Burundi kwa mwaliko wa mchungaji wa kanisa, lakini badala yake akahadaiwa na kupelekwa Rwanda na kukamatwa kwa tuhuma za ugaidi.
-
UN yaonya kuhusu uhalifu zaidi wa kivita dhidi ya Waislamu nchini Myanmar
Sep 15, 2020 12:48Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuchukuliwa hatua zaidi kutokana na ukiukaji wa haki za binadamu unaofanyika nchini Myanmar dhidi ya jamii ya Waislamu wa Rohingya.
-
Shujaa wa filamu ya 'Hotel Rwanda' afikishwa mahakamani kwa makosa ya ugaidi, mauaji
Sep 14, 2020 11:27Shujaa wa filamu ya 'Hotel Rwanda' inayosimulia kisa cha mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda, Paul Rusesabagina, leo Jumatatu amefikishwa mahakamani mjini kigali akikabiliwa na mashtaka ya ugaidi, kufadhili ugaidi mauaji na kuteka nyara.
-
Uchunguzi wa mshukiwa wa mauaji ya kimbari Rwanda, Aloys Ntiwiragabo umeanza nchini Ufaransa
Jul 26, 2020 07:31Ufaransa imeanzisha uchunguzi kuhusu tuhuma za jinai dhidi ya binadamu zinazomkabili afisa wa zamani wa ngazi ya juu wa jeshi la Rwanda Meja Jenerali Aloys Ntiwiragabo kufuatia mauaji ya kimbari yaliyojiri nchini humo mwaka 1994.