-
Mwakilishi wa Mayahudi katika bunge la Iran: Hatua ya Trump ya kuitambua Quds mji mkuu wa Israel ni ubaguzi wa kimbari
Dec 14, 2017 12:29Mwakilishi wa jamii ya wachache ya Mayahudi katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya rais wa Marekani ya kuitangaza Baitul Muqaddas mji mkuu wa utawala wa Kizayuni ni ubaguzi wa kimbari.
-
UN: Israel imevuka mstari mwekundu kwa kuidhinisha ujenzi haramu
Feb 08, 2017 00:04Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa Israel imekanyaga mstari mwekundu kwa kupasisha sheria ya kuhalalisha ujenzi mpya wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo wa Kizayuni.
-
Ireland yaweka sheria ya kuwawajibisha mawakili Waislamu kuapa kwa kutumia Qur'ani
Apr 24, 2016 23:35Jamii ya wanasheria nchini Ireland, imewawajibisha mawakili na washauri wa sheria Waislamu kutumia Qur'ani Tukufu wakati wa kula kiapo.
-
Kuwa na wabunge wa dini zote ni katika sifa maalumu za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Feb 22, 2016 00:05Mwakilishi wa Jumuiya ya Mayahudi wa Isfahan magharibi mwa Iran amesema kuwa, kupewa nafasi wafuasi wa dini zote za tawhidi katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ni katika sifa za kipekee za mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.