Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Muamala wa Karne

  • Ukosoaji wa Umoja wa Ulaya dhidi ya mpango wa Marekani wa 'Muamala wa Karne'

    Ukosoaji wa Umoja wa Ulaya dhidi ya mpango wa Marekani wa 'Muamala wa Karne'

    Feb 06, 2020 03:50

    Wiki moja baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kuzindua mpango unaotajwa kuwa 'Muamala wa Karne,' kuhusiana na mzozo wa Palestina na utawala haramu wa Israel, Mkuu wa Siasa za Kigeni wa Umoja wa Ulaya ametoa taarifa akisema kuwa mpango huo unakinzana wazi na mikataba ya kimataifa na kutambua rasmi utawala wa Israel juu ya ardhi zilizoghusubiwa na utawala huo mwaka 1967.

  • Shamkhani: Muamala wa Karne ni mwendelezo wa uwepo wa Daesh kwa ajili ya kueneza chuki dhidi ya Uislamu

    Shamkhani: Muamala wa Karne ni mwendelezo wa uwepo wa Daesh kwa ajili ya kueneza chuki dhidi ya Uislamu

    Feb 04, 2020 10:27

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa Muamala wa Karne ni mchezo wa Marekani na utawala haramu wa Kizayuni kwa lengo la kuendelea kuwepo kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) kwa ajili ya kueneza chuki dhidi ya Uislamu.

  • Usama Hamdan: Muamala wa Karne ni sehemu ya njama za Marekani za kuiangamiza Palestina

    Usama Hamdan: Muamala wa Karne ni sehemu ya njama za Marekani za kuiangamiza Palestina

    Feb 03, 2020 23:11

    Mjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesisitiza kuwa, mpango wa Muamala wa Karne ni sehemu ya njama za Marekani zenye lengo la kuiangamiza kadhia ya Palestina na kuhalalisha uwepo wa utawala vamizi wa Israel katika Asia Magharibi.

  • Jumuiya ya Kukurubisha Madhehebu ya Kiislamu: Palestina ndio mpaka wa ulimwengu wa Kiislamu

    Jumuiya ya Kukurubisha Madhehebu ya Kiislamu: Palestina ndio mpaka wa ulimwengu wa Kiislamu

    Feb 02, 2020 23:37

    Katibu wa Jumuiya ya Kukurubisha Madhehebu ya Kiislamu amesema kuwa, Palestina ndio mpaka wa ulimwengu wa Kiislamu na kwamba suala la kuilinda na kuihami Palestina ni wajibu wa Kiqur'ani wa kila Muislamu.

  • Baraza la Mamufti wa Russia: Nchi za Kiislamu ziungane kupambana na

    Baraza la Mamufti wa Russia: Nchi za Kiislamu ziungane kupambana na "Muamala wa Karne"

    Feb 01, 2020 23:11

    Mkurugenzi wa Baraza la Mamufti wa Russia ambacho ndicho chombo kikubwa zaidi ya Kiislamu nchini humo amesema kuwa, kuna wajibu wa nchi zote za Kiislamu kuungana na kuwa kitu kimoja ili kupambana na mpango wa Kimarekani-Kizayuni wa "Muamala wa Karne."

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS