Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Netanyahu

  • Katibu Mkuu wa UN asema ameshtushwa na mashambulio mapya ya Israel Ghaza

    Katibu Mkuu wa UN asema ameshtushwa na mashambulio mapya ya Israel Ghaza

    Mar 19, 2025 00:46

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema, ameshtushwa na mashambulizi ya hivi karibuni ya anga yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ghaza yaliyoua shahidi mamia ya Wapalestina wakiwemo watoto na wanawake.

  • Hamas yaukosoa utawala wa Kizayuni kwa kukwamisha utekelezaji wa makubaliano ya kusimamisha mapigano

    Hamas yaukosoa utawala wa Kizayuni kwa kukwamisha utekelezaji wa makubaliano ya kusimamisha mapigano

    Feb 04, 2025 04:01

    Kiongozi wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni anaendelea kukwamisha utekelezaji wa makubaliano ya kusimamisha mapigano na kubadilishana kwa uhuru wafungwa na mateka.

  • Waziri Mkuu wa Iraq: Jenerali Soleimani alikuwa bega kwa bega na Iraq katika nyakati ngumu kabisa

    Waziri Mkuu wa Iraq: Jenerali Soleimani alikuwa bega kwa bega na Iraq katika nyakati ngumu kabisa

    Jan 06, 2025 02:50

    Waziri Mkuu wa Iraq amemsifu na kumuenzi kamanda mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kupambana na ugaidi Luteni Jenerali Shahidi Qassem Soleimani, akisema, kamanda huyo alisimama bega kwa bega na nchi hiyo ya Kiarabu katika nyakati ngumu na za changamoto kubwa zaidi.

  • ICC: Mawasiliano na ufuatiliaji unaendelea kufanywa ili kuwatia nguvuni Netanyahu na Gallant

    ICC: Mawasiliano na ufuatiliaji unaendelea kufanywa ili kuwatia nguvuni Netanyahu na Gallant

    Dec 15, 2024 02:05

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imetangaza kuwa, mawasiliano na ufuatiliaji mkubwa unaendelea kufanywa ili kuweza kuwatia mbaroni waziri mkuu pamoja na waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Syria yajibu madai ya Netanyahu kuhusu Golan inayokaliwa kwa mabavu

    Syria yajibu madai ya Netanyahu kuhusu Golan inayokaliwa kwa mabavu

    Dec 11, 2024 00:59

    Spika wa Bunge la Syria amejibu madai ya kijeuri ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu Golan inayokaliwa kwa mabavu.

  • Shirikisho la Wanahabari: Waandishi 104 wameuliwa 2024, zaidi ya nusu wameuawa Ghaza

    Shirikisho la Wanahabari: Waandishi 104 wameuliwa 2024, zaidi ya nusu wameuawa Ghaza

    Dec 10, 2024 07:56

    Shirikisho la Kimataifa la Wanahabari (IFJ) limetangaza leo kuwa 2024 umekuwa mwaka wa "mauti zaidi" kwa waandishi wa habari kutokana na waandishi 104 wa habari kuuawa duniani kote, huku zaidi ya nusu kati yao wakiuawa katika Ukanda wa Ghaza.

  • Jumuiya 11 za Ufaransa zaihimiza serikali itekeleze agizo la ICC la kumkamata Netanyahu na Gallant

    Jumuiya 11 za Ufaransa zaihimiza serikali itekeleze agizo la ICC la kumkamata Netanyahu na Gallant

    Nov 24, 2024 06:31

    Jumuiya 11 zisizo za kiserikali (NGO's) nchini Ufaransa zimeitaka serikali ya nchi hiyo itekeleze agizo la Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ya kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na mkuu wa zamani wa ulinzi Yoav Gallant.

  • Maji yamfika shingoni Netanyahu; amtimua waziri wa vita, maandamano yashtadi

    Maji yamfika shingoni Netanyahu; amtimua waziri wa vita, maandamano yashtadi

    Nov 05, 2024 23:35

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amemfuta kazi Waziri wa Vita wa utawala huo, Yoav Gallant kutokana na kushindwa kwa utawala huo wa Kizayuni kukabiliana na mrengo wa Muqawama katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.

  • Ripoti: Netanyahu na Gallant wamekimbilia kwenye mahandaki

    Ripoti: Netanyahu na Gallant wamekimbilia kwenye mahandaki

    Oct 26, 2024 07:31

    Gazeti moja la utawala wa Kizayuni limeripoti kuwa Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu na Yoav Gallant Waziri wa Vita wa utawala huo wamekimbilia katika mahandaki kujificha kwa kuhofia kushambuliwa.

  • Mufti wa Oman apongeza shambulio dhidi ya makazi ya Netanyahu

    Mufti wa Oman apongeza shambulio dhidi ya makazi ya Netanyahu

    Oct 21, 2024 03:05

    Mufti Mkuu wa utawala wa Kisultani wa Oman amepongeza shambulio la wanamuqawama lililolenga makazi ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS