Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Oman

  • Dakta Zarif akutana na Naibu Sultani wa Oman na msemaji wa Ansarullah Muscat

    Dakta Zarif akutana na Naibu Sultani wa Oman na msemaji wa Ansarullah Muscat

    Dec 24, 2019 23:25

    Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Mohammad Abdul Salam, msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen nchini Oman.

  • Oman na Qatar zataka kuimarisha uhusiano na Iran

    Oman na Qatar zataka kuimarisha uhusiano na Iran

    Dec 15, 2019 04:31

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema taifa hili linajivunia kuwa na uhusiano mzuri na wa udugu na Oman huku akisisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano huo.

  • Erdogan: Uturuki itatuma majeshi Libya ikiombwa kufanya hivyo

    Erdogan: Uturuki itatuma majeshi Libya ikiombwa kufanya hivyo

    Dec 10, 2019 09:07

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema kuwa, Ankara iko tayari kutuma majeshi nchini Libya iwapo serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo itaomba msaada huo.

  • Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman zatiliana saini hati tatu za ushirikiano

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman zatiliana saini hati tatu za ushirikiano

    Dec 08, 2019 01:15

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman zimetiliana saini hati tatu za ushirikiano katika uwanja wa viwango vya bidhaa, michezo na usafiri na uchukuzi wa baharini.

  • Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Oman wafanya mazungumzo mjini Tehran

    Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Oman wafanya mazungumzo mjini Tehran

    Dec 02, 2019 09:04

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Oman ambaye yupo safarini hapa Tehran, leo amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake, Dakta Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran.

  • Waziri wa Ulinzi wa Iran: Marekani ndio chanzo hasa cha kukosekana amani katika eneo

    Waziri wa Ulinzi wa Iran: Marekani ndio chanzo hasa cha kukosekana amani katika eneo

    Aug 08, 2019 08:01

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, muungano wa kijeshi unaotaka kuundwa na Marekani wa kisingizio cha kudhamini usalama wa vyombo vya majini ndio utakaosababisha kuvurugika zaidi amani na usalama katika eneo.

  • Oman yakanusha madai ya kutaka kuhuisha uhusiano wake na Israel

    Oman yakanusha madai ya kutaka kuhuisha uhusiano wake na Israel

    Jul 03, 2019 02:50

    Serikali ya Oman imekanusha vikali madai ya Mkuu wa Shirika la Kijasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel (MOSSAD) aliyedai kuwa Oman ipo mbioni kuhuisha uhusiano wake wa kidiplomasia na utawala huo haramu.

  • MOSSAD: Israel kufungua 'ubalozi wake' nchini Oman

    MOSSAD: Israel kufungua 'ubalozi wake' nchini Oman

    Jul 02, 2019 07:24

    Mkuu wa Shirika la Kijasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel (MOSSAD) amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unatazamiwa hivi karibuni kufungua Ofisi ya Uwakilishi ya Wizara ya Mambo ya Nje ya utawala huo katili nchini Oman.

  • Iran: Hatufanyi mazungumzo ya moja kwa moja, au yasiyo ya moja kwa moja na Marekani

    Iran: Hatufanyi mazungumzo ya moja kwa moja, au yasiyo ya moja kwa moja na Marekani

    May 27, 2019 04:03

    Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amepuuzilia mbali madai yaliyoenea hivi karibuni kwamba Tehran inafanya mazungumzo na Marekani kwa shabaha ya kupunguza taharuki baina ya nchi mbili.

  • Iran na Oman kuimarisha ushirikiano wao wa kijeshi na kiulinzi

    Iran na Oman kuimarisha ushirikiano wao wa kijeshi na kiulinzi

    Apr 15, 2019 03:45

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman zimeeleza hamu yao ya kuimarisha ushirikiano wao wa kijeshi na kiulinzi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS