Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Qassem Soleimani

  • Msemaji wa jeshi la SEPAH: Furaha ya Marekani na Israel itageuka kuwa maombolezo

    Msemaji wa jeshi la SEPAH: Furaha ya Marekani na Israel itageuka kuwa maombolezo

    Jan 03, 2020 08:21

    Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH, huku akiomboleza kuuawa shahidi Meja Jenerali Qassim Soleimani, Kamanda wa kikosi cha Quds cha jeshi hilo amesisitiza kwamba furaha ya muda mfupi ya Wamarekani na Wazayuni itageuka kuwa maombolezo hivi karibuni.

  • Mkuu wa Mahakama za Iran na Spika wa Bunge: Iran italipiza kisasi cha damu ya Jenerali Soleimani

    Mkuu wa Mahakama za Iran na Spika wa Bunge: Iran italipiza kisasi cha damu ya Jenerali Soleimani

    Jan 03, 2020 08:10

    Mkuu wa Idara ya Vyombo vya Mahakama nchini Iran na Spika wa Majlisi ya Ushari ya Kiislamu (Bunge) hapa nchini wamesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu italipiza kisasi cha damu ya Shahidi Qassem Soleimani aliyeuawa mapema leo katika shambulizi la Marekani kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baghdad nchini Iraq.

  • Muhammad Zarif: Kuuawa shahidi Soleimani kutaimarisha zaidi mapambano ya Kiislamu kieneo na kimataifa

    Muhammad Zarif: Kuuawa shahidi Soleimani kutaimarisha zaidi mapambano ya Kiislamu kieneo na kimataifa

    Jan 03, 2020 08:04

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuuawa shahidi Meja Jenerali Qassim Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Ulinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika shambulio la kigaidi lililotekelezwa na Marekani mapema leo Ijumaa, kutaimarisha zaidi mti wa mapambano ya Kiislamu katika eneo na ulimwengu mzima kwa ujumla.

  • Rais Rouhani: Kuuliwa shahidi Soleimani kutazidisha azma ya Iran ya kupambana na ubeberu wa Marekani

    Rais Rouhani: Kuuliwa shahidi Soleimani kutazidisha azma ya Iran ya kupambana na ubeberu wa Marekani

    Jan 03, 2020 07:22

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuuliwa shahidi Meja Jenerali Qassem Solaimani aliyekuwa kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi al Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (Sepah) kutazidisha mara dufu azma ya Iran na mataifa mengine huru ya kusimama kidete kupambana na ubeberu wa Marekani na kulinda thamani na maadili ya Kiislamu.

  • Kiongozi Muadhamu: Kisasi kikali kinawasubiri waliomuua shahidi Jenerali Soleimani

    Kiongozi Muadhamu: Kisasi kikali kinawasubiri waliomuua shahidi Jenerali Soleimani

    Jan 03, 2020 06:51

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametuma salamu za rambirambi kutokana na kuuliwa shahidi Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Meja Jenerali Qassem Solaimani na kusema kuwa: Kisasi kikali kinawasubiri watenda jinai ambao mikono yao michafu imemwaga damu yake na mashahidi wengine katika shambulizi la usiku wa kuamkia leo.

  • Jenerali Qassem Soleimani na Abu Mahdi al Muhandes wauawa shahidi na helikopta ya Marekani, uwanja wa ndege wa Baghdad

    Jenerali Qassem Soleimani na Abu Mahdi al Muhandes wauawa shahidi na helikopta ya Marekani, uwanja wa ndege wa Baghdad

    Jan 03, 2020 03:28

    Duru za habari zinaripoti kuwa kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (Sepah) Meja Jenerali Qassem Solaimani na naibu mkuu wa kikosi cha kujitolea cha wananchi wa Iraq, al Hasdul Shaabi, Abu Mahdi al Muhandes wameuawa shahidi mapema leo Ijumaa katika shambulizi la roketi lililofyatuliwa na helikopta ya Marekani katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baghdad nchini Iraq.

Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS