Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Qur'ani Tukufu

  • Viongozi wa Kiislamu Ufaransa wakosoa wito wa 'kufutwa' baadhi ya aya za Qurani

    Viongozi wa Kiislamu Ufaransa wakosoa wito wa 'kufutwa' baadhi ya aya za Qurani

    Apr 28, 2018 03:26

    Viongozi wa Kiislamu nchini Ufaransa wamekosoa vikali ombi lililowasilishwa na shakhsia 300 wa Ufaransa waliotaka kuondolewa baadhi ya aya katika kitabu kitakatifu cha Qur'ani kwa madai kuwa ni za kichochezi na zilizopitwa na wakati.

  • Mkutano wa Miujiza ya Kisayansi wa Qur'ani waanza Misri

    Mkutano wa Miujiza ya Kisayansi wa Qur'ani waanza Misri

    Mar 13, 2018 12:11

    Mkutano wa Kumi wa Muujiza wa Kisayansi katika Qur'ani na Suna umeanza katika Chuo Kikuu cha Mansoura kilichoko umbali wa kilomita 120 kaskazini mashariki mwa mji wa Cairo nchini Misri.

  • Wapalestina 600 wamekamatwa tangu Quds itangazwe 'mji mkuu wa Israel'

    Wapalestina 600 wamekamatwa tangu Quds itangazwe 'mji mkuu wa Israel'

    Dec 27, 2017 03:50

    Mamia ya Wapalestina wamekamatwa na kuzuiliwa na maafisa usalama wa utawala haramu wa Israel tangu Rais Donald Trump wa Marekani aitangaze Quds Tukufu kuwa mji mkuu wa utawala huo wa Kizayuni mapema mwezi huu.

  • Qur'ani ya kwanza kabisa kuwahi kufasiriwa kwa lugha ya Kirundi + SAUTI

    Qur'ani ya kwanza kabisa kuwahi kufasiriwa kwa lugha ya Kirundi + SAUTI

    Dec 26, 2017 06:10

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya Uislamu nchini Burundi kumezinduliwa tafsiri ya Qur'ani nzima kwa lugha ya Kirundi.

  • Kiongozi Muadhamu: Sharti la mafanikio ni kuunganisha sayansi za jamii na misingi ya kidini

    Kiongozi Muadhamu: Sharti la mafanikio ni kuunganisha sayansi za jamii na misingi ya kidini

    Nov 30, 2017 13:03

    Kongamano la Kimataifa la Qur'ani na Sayansi za Jamii (Humanities) limeanza leo katika mji mtakatifu wa Qum nchini Iran kwa kusomwa hotuba ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei.

  • Mfumo wa usomeshaji Qur'ani katika skuli za Algeria kufanyiwa marekebisho

    Mfumo wa usomeshaji Qur'ani katika skuli za Algeria kufanyiwa marekebisho

    May 22, 2017 22:48

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Masuala ya Dini na Waqfu katika mkoa wa Ghardaia nchini Algeria ametangaza kuwa mfumo wa usomeshaji Qur'ani katika skuli za nchi hiyo utafanyiwa marekebisho kwa ushirikiano na wadau wa masuala ya kidini nchini humo.

  • Wakristo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wana hamu na shauku ya kujifunza Qur'ani

    Wakristo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wana hamu na shauku ya kujifunza Qur'ani

    Apr 27, 2017 11:35

    Haafidh wa Qur'ani tukufu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema Wakongomani wana hamu na shauku kubwa ya kujifunza Uislamu kiasi kwamba Wakristo wa nchi hiyo wanawapeleka watoto wao madrasa ili wakasomeshwe Qur'ani.

  • Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Walemavu wa Macho yaanza Tehran

    Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Walemavu wa Macho yaanza Tehran

    Apr 18, 2017 22:00

    Duru ya pili ya Mashindano ya Kimataifa ya Walemavu wa Macho yanaanza leo mjini Tehran yakiwashirikisha wawakilishi wa nchi 23.

  • Qur'ani tukufu yatarjumiwa kwa lugha ya Kiyao, Malawi

    Qur'ani tukufu yatarjumiwa kwa lugha ya Kiyao, Malawi

    Jan 02, 2017 03:16

    Qur'ani Tukufu iliyotarjumiwa kwa lugha ya Kiyao ilizinduliwa Jumamosi iliyopita nchini Malawi.

  • Balozi wa Russia Cairo: Qur'ani na Uislamu havina uhusiano wowote na ugaidi

    Balozi wa Russia Cairo: Qur'ani na Uislamu havina uhusiano wowote na ugaidi

    Dec 23, 2016 00:01

    Balozi wa Russia mjini Cairo, Misri amesema kuwa mafundisho ya Qur'ani tukufu hayana mfungamano wa aina yoyote ile ya ugaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS