-
Viongozi wa Wakristo Senegal watunukiwa zawadi ya Qur’ani Tukufu
Apr 05, 2016 22:24Mwakilishi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa (SAW) nchini Senegal amekutana na viongozi wa Wakristo nchini humo na kuwakabidhi zawadi ya nakala ya Qur’ani iliyotarjumiwa kwa lugha ya Kifaransa.