• Waislamu Bosnia walaani adhabu hafifu aliyopewa Karadzic

    Waislamu Bosnia walaani adhabu hafifu aliyopewa Karadzic

    Mar 25, 2016 15:53

    Waislamu huko Bosnia Herzegovina wamebainisha kusikitishwa na kifungo cha miaka 40 tu jela alichohukumiwa Radovan Karadzic aliyekuwa kiongozi wa zamani wa Bosnia Serbia ambaye amepatikana na hatia ya kuua Waislamu 7,000.