-
Sayyid Hassan Nasrullah asema utawala wa Israel wa 'Kinazi' hautadumu katika eneo
May 29, 2024 03:13Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuhusu mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Rafah kusini mwa Ukanda wa Ghaza kwamba, jinai hiyo ya kutisha uliyofanya utawala huo ghasibu inapasa iwaamshe na kuwatoa kwenye usingizi wa mghafala watu waliojisahau duniani na walioshindwa kuwa na msimamo.
-
Hassan Nasrullah: Kimbunga cha al-Aqsa kimemsukuma adui Mzayuni kwenye ukingo wa shimo la mauti
Apr 04, 2024 03:22Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka huu ni tofauti na miaka iliyopita, na kwamba operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa imemweka adui Mzayuni kwenye ukingo wa shimo la mauti.
-
Sayyid Nasrullah: Jeshi la Israel limechoka, litashindwa na muqawama
Mar 13, 2024 23:53Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel linaloendeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wasio na ulinzi wa Ukanda wa Gaza limechoka, na hakuna shaka kwamba litashindwa na kambi ya muqawama hata likiamua kuuvamia mji wa Rafah.
-
Nasrullah: Chimbuko la nguvu za muqawama ni Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 14, 2024 04:04Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amelipongeza na kulishukuru Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) kwa kuiunga mkono kambi ya muqawama katika mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Duru za Wazayuni: Nasrullah ndiye kiongozi shupavu zaidi wa Ulimwengu wa Kiarabu
Feb 06, 2024 04:43Wazayuni wanakiri kwamba, Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah, ni kiongozi shupavu na mwenye nguvu zaidi katika Ulimwengu wa Kiarabu na Magharibi mwa Asia.
-
Sayyid Nasrullah: Machaguo yote dhidi ya Israel yapo mezani
Nov 03, 2023 12:09Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema machaguo yote dhidi ya utawala haramu wa Israel yapo mezani, huku akiuasa utawala huo wa Kizayuni usitishe mara moja uvamizi na mashambulizi yake ya kinyama dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Abdollahian na Nasrullah wazungumzia matukio ya karibuni kuhusu vita vya Gaza
Oct 13, 2023 23:58Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Sayyed Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah Sayyed katika ziara yake nchini Lebanon.
-
Nasrullah: Lazima Wazayuni waisikie sauti ya Umma wa Kiislamu kuhusiana na kibla cha kwanza cha Waislamu
Oct 03, 2023 03:10Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, Umma wa Kiislamu unapaswa utekeleze wajibu wake kwa watu wa Palestina na Msikiti wa Al-Aqsa, na akasisitiza kuwa: Wazayuni lazima waisikie sauti ya Umma wa Kiislamu kuhusiana na Kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Nasrullah: Tutairejesha Israel 'enzi za jiwe' ikiingia vitani na Lebanon
Aug 15, 2023 04:06Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameionya vikali Israel na kusisitiza kuwa, utawala huo wa Kizayuni utarejeshwa nyuma mamilioni ya miaka hadi enzi za jiwe, iwapo utaingia katika vita vipya na Lebanon.
-
Nasrullah: Marekani ndio chimbuko la matatizo yote katika eneo
Aug 04, 2023 04:26Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema Marekani ndiyo sababu ya matatizo mbalimbali ya kiusalama na kiuchumi yanayozisumbua nchi za eneo la Asia Magharibi.