-
Answarullah: Madai ya Saudia kuwa tumeshambulia Makkah ni kuomba msaada baada ya kushindwa
Oct 29, 2016 07:37Msemaji wa Harakati ya Kiislamu ya Answarullah nchini Yemen amesema kuwa, madai yanayotolewa na utawala wa Aal-Saud kwamba harakati hiyo na jeshi la Yemen imeshambulia msikiti wa Makkah, ni njama za kuamsha hisia za Waislamu duniani kwa lengo la kuomba msaada toka kwao baada ya kushindwa vita.
-
Wafanyakazi wa Binladin wateketeza mabasi Makka
May 01, 2016 14:15Wafanyakazi wa shirika kubwa la ujenzi la Binladin wameteketeza mabasi kadhaa katika mji mtakatifu wa Makka.