Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Siku ya Allah, Bahman 22

  • Kiongozi Muadhamu alishukuru taifa kwa kujitokeza kwa hamasa katika maadhimisho ya Mapinduzi ya Kiislamu

    Kiongozi Muadhamu alishukuru taifa kwa kujitokeza kwa hamasa katika maadhimisho ya Mapinduzi ya Kiislamu

    Feb 12, 2018 04:39

    Maandamano ya kitaifa ya watu wa Iran kwa munasaba wa maadhimisho ya kukamilika mwaka wa 39 tokea yapate ushindi Mapinduzi ya Kiislamu ulikuwa ni ushiriki wa kihamasa uliokuwa na ujumbe maalum kwa dunia nzima.

  • Kiongozi Muadhamu awapongeza Wairani kwa ushiriki mkubwa katika maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Kiongozi Muadhamu awapongeza Wairani kwa ushiriki mkubwa katika maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Feb 12, 2018 01:50

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumapili usiku ametoa ujumbe na kuwapongeza wananchi wa Iran kwa kushiriki kwa wingi katika maandamano ya Yawmullah 22 Bahman (11 Februari) ambayo ni siku ya maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.

  • Raia wa Iran wajitokeza kwa mamilioni katika maandamano ya sherehe za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Raia wa Iran wajitokeza kwa mamilioni katika maandamano ya sherehe za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Feb 11, 2018 04:28

    Raia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameshiriki kwa mamilioni katika sherehe za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika kilele cha sherehe hizo kilichofikiwa leo.

  • Khatibu: Marekani imekuwa ikipata vipigo kutoka Iran kwa miaka mingi

    Khatibu: Marekani imekuwa ikipata vipigo kutoka Iran kwa miaka mingi

    Feb 09, 2018 10:45

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya mjini Tehran ameashiria njama za Marekani kwa lengo la kuipa pigo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema, Marekani na waitifaki wake katika miaka ya nyuma wamepata vipigo vingi kutoka Iran.

  • Rais Rouhani: Taifa la Iran limetoa majibu ya busara kwa njama za madola ya kibeberu

    Rais Rouhani: Taifa la Iran limetoa majibu ya busara kwa njama za madola ya kibeberu

    Feb 07, 2018 11:32

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njama zote ambazo hadi sasa zimepangwa na kutekelezwa dhidi ya taifa la Iran zimegonga mwamba na kutofua dafu.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS