-
Mazungumzo ya kupiga marufuku silaha za nyuklia yaanza New York, Marekani
Mar 27, 2017 13:07Mazungumzo ya kupiga marufuku silaha za nyuklia yameanza mjini New York Marekani bila ya kuwashirikisha wajumbe kutoka Russia, Marekani, Ufaransa na Uingereza.