Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Singapore

  • Rais wa Uturuki: Baada ya miaka 80 lazima UN ifanyiwe mageuzi makubwa ili kutimiza wajibu wake

    Rais wa Uturuki: Baada ya miaka 80 lazima UN ifanyiwe mageuzi makubwa ili kutimiza wajibu wake

    Aug 12, 2025 03:28

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema, wakati Umoja wa Mataifa unakaribia kuadhimisha miaka 80 ya kuasisiwa kwake ni wazi kwamba unahitaji mabadiliko makubwa ili kuendelea kutekeleza majukumu uliyopewa.

  • Singapore yapiga marufuku kuonyeshwa filamu ya Kihindi inayoeneza chuki dhidi ya Uislamu

    Singapore yapiga marufuku kuonyeshwa filamu ya Kihindi inayoeneza chuki dhidi ya Uislamu

    May 10, 2022 22:10

    Serikali ya Singapore imepiga marufuku kuonyeshwa nchini humo filamu ya sinema ya Kihindi inayoeneza chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia).

  • Kufeli vibaya Trump katika kampeni ya kuipokonya silaha za nyuklia Korea Kaskazini

    Kufeli vibaya Trump katika kampeni ya kuipokonya silaha za nyuklia Korea Kaskazini

    Mar 01, 2019 10:26

    Licha ya majigambo na makelele mengi ya kipropaganda ya Donald Trump na madai yake ya kupata mafanikio makubwa katika kampeni yake ya kuipokonya silaha za nyuklia Korea Kaskazini, lakini rais huyo wa Marekani mwenye majivuno mengi amefeli vibaya katika suala hilo.

  • Trump aghairisha mkutano wake na Kiongozi wa Korea Kaskazini Singapore

    Trump aghairisha mkutano wake na Kiongozi wa Korea Kaskazini Singapore

    May 24, 2018 22:48

    Rais Donald Trump wa Marekani ameghairisha mkutano uliopangwa kufanyika kati yake na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un.

  • Mwanadiplomasia wa Saudia apatikana na hatia ya kubaka, kulawiti

    Mwanadiplomasia wa Saudia apatikana na hatia ya kubaka, kulawiti

    Feb 02, 2017 04:39

    Mahakama moja nchini Singapore imempata mwanadiplomasia wa Saudi Arabia, na hatia ya kubaka na kulawiti mhudumu mmoja wa hoteli kusini mwa nchi hiyo ya bara Asia.

  • Iran na Singapore kustawisha ushirikiano baina yao

    Iran na Singapore kustawisha ushirikiano baina yao

    Mar 08, 2016 04:05

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Singapore wamejadili na kubadilishana mawazo juu ya kustawisha uhusiano wa nchi mbili katika nyuga tofauti za kiuchumi na vilevile juu ya masuala ya kieneo.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS