-
Wasiwasi wa UN kuhusu kupanuka zaidi ugaidi wa ISIS kutoka Afghanistan
Feb 20, 2022 21:40Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameelezea wasiwasi wake kuhusu tishio la ugaidi wa kundi la Daesh (ISIS) unaoenea kutoka Afghanistan. Antonio Guterres amesema magaidi ni hodari sana katika kutumia umbwe wa madaraka.
-
6 wauawa, 13 wajeruhiwa katika shambulio la bomu Somalia
Feb 10, 2022 23:00Watu wasiopungua sita wameuawa katika mripuko wa bomu uliotokea katika makutano ya barabara yenye shughuli nyingi ya El Gaab katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
80% ya Wamarekani: Ugaidi wa ndani ni tishio kubwa kwa Marekani
Jan 23, 2022 23:11Akthari ya wananchi wa Marekani wanaamini kuwa, ugaidi wa ndani ya nchi ni tishio kubwa kwa taifa hilo.
-
Maelfu ya shule zimefungwa kutokana na ugaidi Burkina Faso
Jan 07, 2022 00:00Maelfu ya shule zimefungwa nchini Burkina Faso kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara ya magenge mbalimbali ya wabeba silaha wenye mfungamano na mtandao wa kigaidi wa al Qaida na Daesh.
-
Iraq na tatizo sugu la ugaidi
Dec 31, 2021 09:02Japokuwa mtandao wa kigaidi wa DAESH (ISIS) umetokomezwa nchini Iraq, lakini kutokana na sababu tofauti, kitisho cha ugaidi kingali kipo nchini humo.
-
Iran: Tuko tayari kushirikiana na nchi za magharibi mwa Afrika kupambana na ugaidi
Nov 16, 2021 08:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu y Iran ameelezea kusikitishwa kwake na kupoteza maisha na kujeruhiuwa idadi kubwa ya raia wa Burkina Faso katika shambulio la hivi karibuni la kigaidi na kusisitiza kuwa, Tehran iko tayari kushirikiana na nchi za magharibi mwa Afrika katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Wanajeshi kadhaa wa Mali wauawa katika mashambulizi tofauti
Oct 31, 2021 23:38Jeshi la Mali limetangaza habari ya kuuawa askari saba wa nchi hiyo katika mashambulizi mawili tofauti huko magharibi mwa nchi.
-
Shambulio jipya la bomu laua na kujeruhi watu kadhaa nchini Uganda
Oct 26, 2021 04:38Mtu mmoja ameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika mlipuko mwingine uliolenga basi la abiria nchini Uganda.
-
Rais wa Uganda: Mlipuko wa bomu Kampala lilikuwa shambulio la kigaidi
Oct 24, 2021 11:45Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema mlipuko wa bomu uliotokea usiku wa kuamkia leo katika mji mkuu Kampala huenda lilikuwa shambulio la kigaidi.
-
Mohseni-Eje'i : Iran itawafuatilia na kuwatia adabu waliohusika na mauaji ya kigaidi ya Kamanda Soleimani
Oct 18, 2021 07:56Mkuu wa Idara wa Mahakama nchini Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itawafuatilia na kuwaadhibu wale wote waliohusika na mauaji ya kigaidi ya Kamanda Luteni Jenerali Qassem Soleimani.