-
Rouhani: Nchi za kibeberu zinafanya maonyesho ya kisiasa katika "vita dhidi ya ugaidi"
Oct 25, 2016 07:54Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema madola ya kibeberu na kiistikbari yanawachezea shere walimwengu sambamba na kufanya maonyesho ya kisiasa katika kile wanachokitaja kuwa 'vita dhidi ya ugaidi.'
-
Ayat. Khatami: Njama za maadui za kuipuuza kadhia ya Palestina kamwe hazitafanikiwa
Jul 01, 2016 15:16Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo katika jiji la Tehran amesema kuwa, njama za maadui wa Uislamu za kuipuuza kadhia ya Palestina na Quds Tukufu kamwe hazitafanikiwa kutokana na kuwa macho na kusimama kidete Waislamu hususan wananchi wa Palestina.
-
Ayatullah Kashani awataka Waislamu kushikamana
Jun 17, 2016 14:22Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo hapa Tehran ameyatolea mwito mataifa yote ya Waislamu kushikamana na kuwa kitu kimoja mbele ya njama za ustikbari na Uzayuni wa kimataifa dhidi ya Dini Tukufu ya Uislamu.