-
Norway yalaani jinai za Israel Ukanda wa Gaza
Aug 26, 2025 02:47Norway imeutaja ukatili unaofanya utawala wa Israel katika Ukanda wa Gaza kuwa ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa, na kutangaza kwamba nchi hiyo ya Ulaya inafikiria kupiga marufuku makampuni ya Norway kushiriki katika shughuli zinazounga mkono upanuzi wa vitongoji vya walowezi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Israel yaendelea kumwaga damu za wanahabari Gaza, yaua wengine 4
Aug 25, 2025 10:36Kwa akali wanahabari wanne wa Kipalestina, akiwemo mpiga picha wa televisheni ya Al-Jazeera, ni miongoni mwa watu 15 waliouawa shahidi katika shambulio jipya la Israel dhidi ya hospitali moja iliyoko kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Wanahabari wa Afrika waunda Muungano wa Kupinga Mauaji ya Kimbari ya Israel Gaza
Aug 25, 2025 02:59Waandishi wa habari kutoka bara zima la Afrika wamezindua muungano uliopewa jina la 'African Journalists Against Genocide (AJAG)' wenye lengo la kupinga kile wanachoeleza kuwa ni mauaji ya kimbari ya Israel na uhalifu wa kivita dhidi ya watu wa Gaza, wakiwemo wanahabari wenzao.
-
WHO: Zaidi ya watu 15,600 wakiwemo watoto 3,800 wanahitaji kuondolewa haraka Gaza kwa ajili ya matibabu
Aug 24, 2025 11:53Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ameeleza kuwa watu zaidi ya 15,600 katika Ukanda wa Gaza, wakiwemo watoto 3,800, wanahitaji kuondolewa haraka katika eneo hilo lililokumbwa na vita ili kupata huduma maalumu ya matibabu.
-
Hamas yaonya: Israel haitafikia malengo yake Ukanda wa Gaza
Aug 21, 2025 06:31Utawala wa Israel umeanza kupeleka vikosi vya jeshi lake kwenye viunga vya Jiji la Gaza kwa ajili ya kuanza kutekeleza mpango wake wa kukalia kwa mabavu eneo hilo kubwa zaidi la Ukanda wa Gaza, lakini Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeonya kuwa, Tel Aviv itashindwa kutimiza malengo yake.
-
Iran yaonya: Israel itajitanua zaidi Asia Magharibi iwapo haitadhibitiwa
Aug 18, 2025 11:04Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran, Esmaeil Baqaei amesema Israel ni tishio kwa usalama na uthabiti wa Asia Magharibi kutokana na mwenendo wake wake kupenda kujitanua, akionya kuwa eneo hili la kistratejia linaweza kukabiliwa na vita visivyoisha ikiwa utawala huo hautazuiwa.
-
Israel yaua Wapalestina wengine 60, yashadidisha ukatili wake 'Gaza City'
Aug 18, 2025 06:43Jeshi la Israel limeshadidisha mashambulizi katika Jiji la Gaza kama sehemu ya operesheni zake zilizopanuliwa zenye lengo la kuteka na kukalia kwa mabavu eneo hilo la 'mwisho' lenye idadi kubwa ya watu katika Ukanda wa Gaza, na kulazimisha makumi ya maelfu ya Wapalestina wanaokabiliwa na njaa kukimbia tena.
-
Wanahabari Nigeria walaani mauaji ya waandishi wenzao huko Gaza
Aug 18, 2025 06:43Muungano wa Waandishi wa Habari wa Nigeria (NUJ) umelaani vikali mauaji ya wanahabari yaliyofanywa na utawala ghasibu wa Israel huko Gaza na kusisitiza kuwa, hujuma hizo za utawala wa Kizayuni dhidi ya waandishi wenzao katu haziwezi kuwazuia wahudumu wa tasnia hiyo kuendelea kufichua ukweli.
-
Hamas: Israel imeingia katika marhala mpya ya mauaji ya kimbari Gaza
Aug 18, 2025 03:27Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imelaani vikali mpango wa Israel wa kukalia kwa mabavu Jiji la Gaza na kuwahamisha kwa nguvu wakazi wake na kusisitiza kuwa, huo ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa.
-
Makundi ya mapambano ya Palestina yalaani mauaji ya Israel dhidi ya waandishi wa habari
Aug 11, 2025 07:46Makundi ya mapambano ya ukombozi ya Palestina yamelaami vikali mauaji ya halaiki yaliyofanywa na Israel dhidi ya waandishi habari na wapiga picha kadhaa katika Ukanda wa Gaza.