-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu ongezeko la joto duniani
Mar 21, 2023 07:01Umoja wa Mataifa umetangaza katika ripoti yake mpya kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa kwamba kuongezeka kwa joto la sayari ya dunia kumewaweka binadamu katika hatari ya kutoweka.
-
Kukosoa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kampeni za chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu
Mar 12, 2023 08:42Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekosoa uenezaji hofu juu ya Uislamu na chuki za aina mbalimbali dhidi ya Uislamu na Waislamu duniani.
-
Guterres: Usawa wa jinsia duniani umesalia nyuma kwa miaka 300
Mar 07, 2023 03:46Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema dunia haijachukua hatua za maana kulinda haki za wanawake, na kwamba usawa wa jinsia katika kona zote za dunia inaonekana ajenda ambayo ipo karne nyingi nyuma kufikiwa.
-
Umoja wa Mataifa waanzisha uchunguzi katika mauaji ya watu wa asili wa Kanada
Mar 03, 2023 05:25Kufichuliwa mauaji ya wakazi asilia wa Kanada, hasa watoto, kumeibua kashfa kubwa dhidi ya nchi hiyo inayodai kuwa mtetezi wa haki za binadamu ulimwenguni. Kuhusiana na hilo, mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuanza shughuli yake ya uchunguzi kuhusu mauaji hayo ya kimbari ya watu asilia wa Kanada.
-
UN yasimamisha ndege zake kuruka Kivu Kaskazini, DRC
Feb 27, 2023 07:09Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO) kimetangaza habari ya kusimamisha ndege zake kuruka katika anga ya mkoa wa Kivu Kaskazini, baada ya helikopta yake kushambuliwa katika eneo hilo Ijumaa iliyopita.
-
UN yawasilisha ombi la msaada wa dola bilioni moja kusaidia waathirika wa Zilzala Uturuki
Feb 17, 2023 04:02Umoja wa Mataifa umezindua ombi la dola bilioni moja kwa ajili ya usaizidi wa kibinadamu kwa wananchi wa Uturuki wanaokumbwa na machungu kufuatia tetemeko kubwa zaidi la ardhi kuwahi kukumba taifa hilo katika kipindi cha karne.
-
UN yaikosoa Tunisia kwa kuwawekea mbinyo wakosoaji na wapinzani
Feb 16, 2023 23:20Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa umoja huo unatiwa wasiwasi na kushtadi wimbi la kamatakamata dhidi ya wanaharakati wa kisiasa na wapinzani wa serikali ya Rais Kais Saeid wa Tunisia.
-
UN yailaumu Ukraine kwa kuwanyanyasa mateka wa vita wa Russia
Feb 11, 2023 03:54Msemaji wa Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa ameelezea wasiwasi wake kuhusu ukatili unaofanywa na serikali ya Ukraine dhidi ya mateka wa kivita wa Russia.
-
Onyo kuhusu ongezeko la vijasumu sugu (superbacteria)
Feb 11, 2023 03:54Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu ongezeko la bakteria sugu (superbacteria) duniani.
-
Katibu Mkuu wa UN: Dunia inaelekea katika vita vikubwa zaidi
Feb 07, 2023 02:56Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kwamba, hatua zozote za kuchochea mgogoro wa Russia na Ukraine huenda zikaitumbukiza dunia katika vita vipana na vikubwa zaidi.