Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Ulaya

  • Umoja wa Ulaya watoa onyo kali kwa Uingereza

    Umoja wa Ulaya watoa onyo kali kwa Uingereza

    Jun 13, 2021 02:35

    Wakuu wa Umoja wa Ulaya wametoa onyo kali kwa waziri mkuu wa Uingereza na kumtaka aheshimu ahadi za London ndani ya Brexit.

  • Safari ya kwanza ya Joe Biden barani Ulaya, mshikamano wa pande mbili za Atlantic na tahadhari kwa Russia

    Safari ya kwanza ya Joe Biden barani Ulaya, mshikamano wa pande mbili za Atlantic na tahadhari kwa Russia

    Jun 10, 2021 21:36

    Rais Joe Biden wa Marekani Jumatano wiki hii aliekelea barani Ulaya ikiwa safari yake ya kwanza nje ya nchi baada ya kushika hatamu za uongozi.

  • UN: Umoja wa Ulaya unahusika katika vifo vya wahamiaji Bahari ya Mediterania

    UN: Umoja wa Ulaya unahusika katika vifo vya wahamiaji Bahari ya Mediterania

    May 26, 2021 21:49

    Umoja wa Mataifa umesema kuwa Umoja wa Ulaya ni mhusirika katika vifo vya wahamiaji wanaoaga dunia mara kwa mara katika Bahari ya Mediterania wakiwa mbioni kelekea katika nchi za bara hilo.

  • Umoja wa Ulaya wakaribisha kurefushwa makubaliano ya kiufundi kati ya Iran na IAEA

    Umoja wa Ulaya wakaribisha kurefushwa makubaliano ya kiufundi kati ya Iran na IAEA

    May 26, 2021 03:59

    Enrique Mora Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Ulaya Kuhusu Hatua za Kigeni amekaribisha makubaliano ya kiufundi yaliyofikiwa hivi karibuni kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia IAEA na kuyataja kuwa 'makuabaliano mazuri.' Amesema makubaliano hayo yataandaa uwanja unaofaa kwa ajili ya kufikiwa mapatano ya kuridhisha mjini Vienna.

  • EU yajipanga kutoa misaada kwa Libya na Tunisia ili kuzuia wahajiri wasielekee Ulaya

    EU yajipanga kutoa misaada kwa Libya na Tunisia ili kuzuia wahajiri wasielekee Ulaya

    May 20, 2021 23:07

    Kamishna wa Mambo ya Ndani katika Umoja wa Ulaya (EU) Ylva Johansson, amesema umoja huo unashauriana na Tunisia na Libya ili kufikia mapatano yatakayowezesha kuzuia wahajiri wasielekee barani ya Ulaya.

  • Maafa makubwa ya kibinadamu yanalijongelea eneo la Tigray, Ethiopia

    Maafa makubwa ya kibinadamu yanalijongelea eneo la Tigray, Ethiopia

    May 15, 2021 02:33

    Umoja wa Ulaya umelaani msimamo wa serikali ya Ethiopia wa kuendelea kufunga njia za kufikishwa misaada ya kibinadamu katika eneo lililoharibiwa na vita la Tigray, la kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Mzozo mkubwa baina ya Uingereza na Ufaransa, matunda ya awali ya kiusalama ya Brexit

    Mzozo mkubwa baina ya Uingereza na Ufaransa, matunda ya awali ya kiusalama ya Brexit

    May 08, 2021 21:41

    Baada ya Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya maarufu kwa jina la Brexit, sasa hivi matunda na matokeo mabaya ya kujitoa huko yameanza kuonekana katika nyuga mbalimbali.

  • EU: Ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni huko Palestina ni kinyume cha sheria

    EU: Ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni huko Palestina ni kinyume cha sheria

    May 06, 2021 03:49

    Msemaji wa Umoja wa Ulaya amesisitiza kuwa, ujenzi wa vitengoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina ni haramu na unapaswa kusitishwa.

  • Kuongezeka mivutano baina ya Russia na Umoja wa Ulaya

    Kuongezeka mivutano baina ya Russia na Umoja wa Ulaya

    May 02, 2021 04:49

    Mivutano baina ya Russia na Umoja wa Ulaya imeongezeka sana hivi sasa. Kuwekeana vikwazo viongozi wa kisiasa wa pande mbili ni silaha kuu inayotumiwa na pande hizo kuonesha ukubwa wa mivutano hiyo.

  • Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran; kwenda sambamba na Washington na Tel Aviv

    Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran; kwenda sambamba na Washington na Tel Aviv

    Apr 14, 2021 08:18

    Baraza la Umoja wa Ulaya Jumatatu tarehe 12 mwezi huu wa Aprili liliwajumuisha maafisa 8 na taasisi 3 katika ordha ya vikwazo dhidi ya Iran kwa kisingizio cha eti kukiuka haki za binadamu. Aidha baraza hilo limechukua uamuzi wa kurefusha hatua zake dhidi ya Iran hadi tarehe 13 mwezi Aprili mwaka kesho kwa kisingizio cha kile ilichokitaja kuwa ukiukaji wa haki za binzdamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS