• Uchaguzi wa rais wa Ushelisheli waingia duru ya pili

    Uchaguzi wa rais wa Ushelisheli waingia duru ya pili

    Sep 28, 2025 07:32

    Tume ya Uchaguzi ya Ushelisheli imetangaza leo Jumapili kwamba, uchaguzi wa rrais uliofanyika hivi karibuni utaingia duru ya pili, kwani hakuna mgombea aliyepata zaidi ya asilimia 50 ya kura katika duru ya kwanza.