-
Al Azhar yatilia mkazo umoja baina ya Waislamu
Feb 22, 2016 13:06Sheikh Mkuu wa al Azhar nchini Misri amesema Shia na Suni ni mbawa mbili za Uislamu na kwamba kuna udharura wa kufanyika jitihada za kukurubisha pamoja wafuasi wa madhehebu hizo mbili.