-
Waandishi habari waandamana Cairo kupinga hatua ya al Sisi na kuipa saudia visiwa vya Misri
Apr 26, 2016 02:36Wanachama wa Jumuiya ya Waandishi Habari wamefanya maandamano mjini Cairo wakipinga hatua ya Rais wa Misri, Abdul Fattah al Sisi ya kuipatia Saudi Arabia visiwa viwili vya Tiran na Sanafir na kupasisha makubaliano ya kuchora mipaka ya baharini kati ya nchi hizo mbili.