-
Umoja wa Afrika kutuma mjumbe nchini Sudan kutafuta suluhisho la mgogoro wa kisiasa
Nov 15, 2021 02:48Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amesema umoja huo utatuma mjumbe nchini Sudan kwa ajili ya kutafuta suluhisho la mgogoro wa kisaisa nchini humo.
-
Serikali ya Ethiopia yatangaza masharti ya mazungumzo ya kusitisha mapigano Tigray
Nov 12, 2021 07:53Serikali ya Ethiopia imetangaza masharti kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya kusitisha mapigano na viongozi wa chama cha Tigray People’s Liberation Front (TPLF), kufuatia juhudi za kidiplomasia za kimataifa zenye lengo la kusitisha uhasama unaozidi kuongezeka huko kaskaqzini mwa nchi hiyo.
-
China yaonya kuhusu kurejea vita baridi eneo la Asia-Pasifiki
Nov 11, 2021 09:46Rais Xi Jinping wa China ameonya kuhusu uwezekano wa kurejea mgogoro wa zama za Vita Baridi katika eneo la Asia Pasifiki huku hali ya taharuki ikiendelea kushuhudiwa baina ya Marekani na China kuhusu eneo la China Taipei.
-
Kiongozi wa wanaotaka kujitenga Biafra (IPOB), kufikishwa mahakamani leo
Nov 10, 2021 06:32Kiongozi wa Watu wa Asili wa Biafra (IPOB), wanaotaka kujitenga eneo la kusini mashariki mwa Nigeria, anatazamiwa kurejeshwa mahakamani hii leo Jumatano katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja.
-
UN: Ethiopia inakaribia kutumbukia katika vita kubwa ya wenyewe kwa wenyewe
Nov 09, 2021 12:37Mkuu wa Idara ya Siasa ya Umoja wa Mataifa, Rosemary DiCarlo amesema hatari ya Ethiopia kuingia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe ni kubwa mno", akiongeza kuwa athari za kisiasa za kushadidi ghasia nchini humo zitazidisha migogoro inayolisumbua eneo la Pembe ya Afrika.
-
Serikali ya Biden yaidhinisha mauzo ya silaha kwa Saudi Arabia
Nov 06, 2021 15:47Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Marekani imeidhinisha mauzo ya makombora yenye thamani ya dola milioni 650 kwa Saudi Arabia.
-
Kukiri Biden kushindwa Marekani kukabiliana na al Qaida; kufeli vita vya kimataifa dhidi ya ugaidi
Sep 13, 2021 12:07Rais wa Marekani, Joe Biden, siku ya Jumamosi na pembeni mwa sherehe za mwaka wa 20 wa tangu kutokea mashambulio ya Septemba 11 nchini Marekani, alikiri kwamba yumkini kundi la kigaidi la al Qaida likarejea tena Afghanistan na kusisitiza kuwa, Washington haiwezi kupeleka wanajeshi kila sehemu ilipo al Qaida.
-
Guterres ataka kusitishwa uhasama na mapigano nchini Ethiopia
Aug 27, 2021 10:31Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusitishwa mara moja mapigano na vitendo ya uhasama nchini Ethiopia.
-
Ripoti mpya kuhusu matokeo ya vita vya miaka 20 vya Marekani huko Afghanistan
Aug 20, 2021 00:04Taasisi ya Watson Institute for International and Public Affairs katika Chuo Kikuu cha Brown imetangaza katika ripoti yake mpya kwamba, Marekani imetumia dola trilioni 2.26 katika vita vyake vya miaka 20 huko Afghanistan ambavyo vilianza msimu wa mapukutiko wa mwaka 2001.
-
Mapigano baina ya jeshi la serikali na waasi wa Tigray yapamba moto Ethiopia
Aug 14, 2021 00:00Mapigano makali yameripotiwa baina ya vikosi vya jeshi la serikali ya Ethiopia na wapiganaji wa kundi la waasi wa Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray (TPLF) katika maeneo ya mpaka wa jimbo hilo na Amhara kaskazini mwa Ethiopia.