-
Assad: Wamagharibi hawawezi kuvumilia uhuru wa Syria
Jul 27, 2016 03:09Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema nchi za Magharibi zimeshindwa kuvumilia uhuru wa kujitawala Syria na ndiposa zikaanza kuunga mkono harakati za kigaidi nchini humo.
Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema nchi za Magharibi zimeshindwa kuvumilia uhuru wa kujitawala Syria na ndiposa zikaanza kuunga mkono harakati za kigaidi nchini humo.