-
Ikhwani yaitaka UN kuokoa maisha ya kiongozi wake aliyoko katika jela ya Misri
Oct 31, 2019 08:46Harakati ya Ikhwanul Muslimin ya Misri imeutaka Umoja wa Mataifa na taasisi zote za kisheria na za kutetea haki za binadamu za kikanda na kimataifa kuokoa maisha ya kiongozi wake, Dakta Mohammed Badie anayeshikiliwa katika jela ya Misri tangu mwaka 2013.
-
Upinzani Msumbiji wakataa kukubali matokeo ya uchaguzi
Oct 20, 2019 03:57Chama kikuu cha upinzani cha Renamo nchini Msumbiji kimepinga matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika Jumanne iliyopita.
-
Rais wa Senegal atangaza msamaha kwa kinara wa upinzani
Sep 30, 2019 04:03Rais Macky Sall wa Senegal ametangaza msahama kwa kiongozi wa upinzani nchini humo, Khalifa Sall ambaye alikuwa anatumikia kifungo cha miaka mitano jela tokea mwaka jana 2018 baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya ufisadi iliyokuwa ikimkabili.
-
Kuendelea mazungumzo ya serikali ya Venezuela na wapinzani licha ya vitisho vya Wamagharibi
Jul 21, 2019 03:19Mashinikizo na vitisho vya Marekani na nchi za Ulaya dhidi ya Venezuela, vimeongezeka huku mazungumzo ya kutafuta njia ya kuiodoa nchi hiyo kwenye mgogoro wa kisiasa yakiwa yanaendelea kati ya serikali na wapinzani.
-
Wapinzani Sudan: Wanajeshi wasipewe kinga ya kushtakiwa
Jul 17, 2019 03:02Muungano mkuu wa upinzani nchini Sudan umepinga vikali mpango wa kuwapa wanajeshi wa nchi hiyo kinga mutlaki ya kushtakiwa, ukisisitiza kuwa waliohusika na vitendo vya jinai wanapaswa kubebeshwa dhima.
-
Sisitizo la wapinzani wa Venezuela la kuendelea kushiriki katika mazungumzo na serikali ya Caracas
Jul 16, 2019 22:00Baada ya duru tatu za mazungumzo baina ya serikali ya Venezuela na wapinzani yenye lengo la kufikia utatuzi wa pamoja na kuikwamua nchi hiyo katika kinamasi cha mgogoro wa kisiasa, wapinzani wa nchi hiyo wamethibitisha kwamba, wataendelea kushiriki katika mazungumzo na wawakilishi wa serikali huko nchini Barbados katika Bahari ya Caribbean.
-
Rais wa Venezuela asisitiza kuunga mkono mazungumzo na wapinzani
Jul 06, 2019 03:46Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesisitiza kuwa, serikali yake inaunga mkono na kuheshimu mchakato wa kuendelezwa mazungumzo na wapinzani wake kwa usimamizi wa Norway.
-
Mazungumzo baina ya serikali na wapinzani nchini Venezuela kuanza karibuni hivi
Jun 30, 2019 21:01Mazungumzo baina ya wawakilishi wa serikali na wapinzani nchini Venezuela yanatarajiwa kuanza hivi karibuni lengo likiwa ni kufanya juhudi za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo.
-
Wapinzani Sudan kuwateua watu 8 kuongoza Baraza la Mpito
Jun 11, 2019 03:49Makundi ya upinzani yanayoongoza maandamano na uasi wa kiraia nchini Sudan yanapanga kuteua watu wanane katika Baraza la Mpito, huku yakimteua mchumi mashuhuri nchini kuwa kiongozi wa serikali hiyo ya muda.
-
Ukwamishaji mambo wa Juan Guaidó kuhusu mgogoro wa kisiasa wa Venezuela
Jun 09, 2019 08:05Kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Venezuela na kadhalika kushindwa wapinzani wa nchi hiyo kumng'oa madarakani Rais Nicolás Maduro, kumepelekea Juan Guaidó, kiongozi wa upinzani kukubali pendekezo la upatanishi wa Norway na kuanza mazungumzo ya wawakilishi wa serikali na wapinzani huko mjini Oslo.