• Ulimwengu wa Michezo, Machi 14

    Ulimwengu wa Michezo, Machi 14

    Mar 14, 2016 09:15

    Iran yatwaa ubingwa wa Riadha ya Asian-Oceanic UAE Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetwaa ubingwa wa Mashindano ya Riadha ya Walemavu ya Asian-Oceanic, yaliyofanyika mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu.

  • Ulimwengu wa Michezo, Machi 7

    Ulimwengu wa Michezo, Machi 7

    Mar 07, 2016 09:39

    Iran bingwa wa karate Asia Timu ya taifa ya karate ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetwaa ubingwa wa mashindano ya mchezo huo barani Asia mwaka huu 2016 yaliyofanyika mjini Kermanshah nchini hapa.