-
Tarehe 13 Aban, Siku ya Kupambana na Uistikbari wa Kimataifa
Nov 03, 2018 09:57Assalamu alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran popote pale mlipo hasa huko nyumbani Afrika Mashariki. Ni matumaini yangu kuwa, mubukheir wa afya na mnaendelea vyema katika kutekeleza majukumu yenu ya kila siku.