-
Palmyra, Lulu ya Jangwani, kabla na baada ya kuhujumiwa na ISIS
Apr 20, 2016 06:15Jeshi la Syria hivi karibuni liliukomboa mji wa kale wa Palmyra au Tadmur kutoka kwa kundi la magaidi wakufurishaji wa ISIS au Daesh. Makala yetu ya leo itaangazia kwa kifupi kuhusu mji huo muhimu na wa kihistoria nchini Syria