• Wiki ya Umoja na Maulidi ya Mtume (saw)

    Wiki ya Umoja na Maulidi ya Mtume (saw)

    Sep 26, 2024 12:01

    Kipindi cha baina ya tarehe 12 na 17 Mfunguo Sita kimetangazwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni Wiki ya Umoja na Mshikamano baina ya Waislamu wote duniani, lengo likiwa ni kuwakusanya pamoja Waislamu wote wa madhehebu na mitazamo tofauti katika Tauhidi na umoja wa Kiislamu.