-
Watu wa Asili, Tabaka Lililokandamizwa Zaidi katika Dunia ya Leo
Aug 09, 2017 18:38Tarehe 23 Disemba mwaka 1994 Umoja wa Mataifa uliitangaza tarehe 9 Agosti kila mwaka kuwa ni Siku ya Kimataifa ya Watu wa Asili (Indigenous). Siku hiyo ilitangazwa rasmi ili kukumbuka na kutetea haki za zaidi ya watu milioni 370 wa asili katika nchi 90 duniani.
-
Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti
May 28, 2017 11:15Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya sita ya makala yanayozungumzia jinai na ukatili wa kutisha unaofanywa na Mabudha wenye kuchupa mipaka dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.
-
Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti
May 23, 2017 06:54Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya tano ya makala yanayozungumzia jinai na ukatili wa kutisha unaofanywa na Mabudha wenye kuchupa mipaka dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.