• Rekodi Mpya ya Wakimbizi Duniani

    Rekodi Mpya ya Wakimbizi Duniani

    Jul 02, 2023 13:08

    Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusu idadi kubwa na isiyo na kifani ya wakimbizi katika ripoti ambayo imepewa anwani "Mashtaka Dhidi ya Hali ya Sasa ya Dunia."