-
Ajali ya Helicopter yaua watu 12 Algeria
Mar 28, 2016 03:46Watu wasiopungua 12 wamepoteza maisha Algeria kufuatia ajali ya helikopta wakati ikilinda doria katika eneo la jangwa la Sahara nchini humo.
Watu wasiopungua 12 wamepoteza maisha Algeria kufuatia ajali ya helikopta wakati ikilinda doria katika eneo la jangwa la Sahara nchini humo.