-
Zarif: Kustawisha uhusiano na Amerika ya Latini ni katika utekelezaji malengo ya Uchumi wa Muqawama
Aug 22, 2016 15:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Muhammad Javad Zarif amesema kustawisha uhusiano na nchi za Amerika ya Kusini ni katika kufanikisha malengo ya Uchumi wa Muqawama.
-
Kuanza ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran huko Amerika ya Latini
Aug 21, 2016 08:04Muhammad Javad Zarif Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran leo asubuhi ameondoka mjini Tehran katika ziara yake ya kwanza huko Amerika ya Latin huku akiongoza ujumbe wa ngazi ya juu wa kiuchumi na kisiasa wa nchi hii. Zarif anazitembela nchi sita za Amerika ya Latini kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kisiasa na kiuchumi kati ya Iran na nchi hizo khususan baada ya kufikiwa makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Mgombea uongozi wa chama cha UKIP ataka Hijabu ipigwe marufuku Uingereza
Aug 09, 2016 06:08Lisa Duffy, mmoja wa wagombea wa uongozi wa chama cha Uhuru cha Uingereza UKIP ametaka vazi la stara la Kiislamu la Hijabu lipigwe marufuku katika maeneo ya hadhara nchini humo.