-
Kukiri Borrell juu ya mwisho wa udhibiti wa Marekani na nafasi isiyokuwa athirifu ya Ulaya duniani
Oct 22, 2022 07:41Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell amekiri katika mahojiano yake siku ya Alhamisi iliyopita kwamba tunaishi katika ulimwengu wa kambi kadhaa na kwamba kipindi cha udhibiti wa upande mmoja wa Marekani kimefikia tamati.
-
Sisitizo la Rais wa China la kupinga mabavu na hatua za kupenda kujitanua
Oct 17, 2022 22:40Rais wa China amesisitiza katika hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa 20 wa Chama tawala cha Kikomonisti cha nchi hiyo kwamba nchi yake kamwe haina lengo la kutekeleza hatua za kibeberu na kupenda kujitanua kimataifa.
-
Raisi: Iran iko tayari kuimarisha uhusiano na China katika kila uga
Oct 01, 2022 08:35Rais Ebrahim Raisi wa Iran ametoa mwito wa kuimarishwa uhusiano wa pande mbili wa Jamhuri ya Kiislamu na China katika nyuga tofauti.
-
Jumamosi, tarehe Mosi Oktoba, 2022
Oct 01, 2022 00:38Leo ni Jumamosi tarehe 4 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 1444 Hijria mwafaka na tarehe Mosi Oktoba 2022 Miladia.
-
Russia na China zinataka kuachiliwa fedha za Afghanistan zilizozuiwa
Sep 29, 2022 04:23Wawakilishi wa Russia na China wametaka kuachiwa huru fedha zote za Afghanistan zilizozuiwa. Wamebainisha hayo katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Ukosoaji wa China kwa vikwazo vya Marekani vinavyosababisha masaibu kwa nusu ya watu wote duniani
Sep 28, 2022 22:56Wizara ya Mambo ya Nje ya China imeikosoa Marekani kwa kutekeleza sera ya vikwazo na kusababisha matatizo na masaibu kwa nusu ya watu wote duniani.
-
Upinzani wa marais wa Russia na China dhidi ya ulimwengu wa kambi moja
Sep 16, 2022 20:53Rais wa Russia, Vladimir Putin, alisema Alkhamisi iliyopita katika mazungumzo yake na mwenzake wa China Xi Jinping yaliyofanyika kando ya mkutano wa kilele wa "Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai" huko Samarkand, nchini Uzbekistan kwamba jitihada za kuunda ulimwengu wa kambi moja hazikubalika.
-
Rais Raisi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katu haitalegeza msimamo mbele ya ubabe wa Marekani
Sep 16, 2022 06:59Rais Ebrahim Raisi amesema, mashirikiano ya kistratijia ya Iran na China ni ishara ya irada ziliyonayo nchi mbili ya kustawisha uhusiano wao katika pande zote na akasisitiza kwamba: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katu haitalegeza msimamo mbele ya ubabe wa Marekani.
-
Marekani yapiga ngoma ya vita kwa kuipa Taiwan 'msaada' wa kijeshi
Sep 15, 2022 23:32Bunge la Seneti la Marekani limepasisha muswada wa sheria inayotaka Taiwan kupewa msaada wa kijeshi wa mabilioni ya dola, hatua inayotazamiwa kuighadhabisha China.
-
Marekani kuiwekea vikwazo China ili 'kuzuia' kuvamiwa Taiwan
Sep 14, 2022 03:04Marekani imeripotiwa kuwa inatafakari kuiwekea China vikwazo ili kuzuia eti mashambulizi tarajiwa ya kijeshi ya Beijing dhidi ya kisiwa cha Taiwan.