-
WHO: Majaribio ya chanjo ya COVID-19 (Corona) yameanza
Mar 19, 2020 12:09Shirika la Afya Duniani limesema siku 60 baada ya sampuli za virusi vya Corona au COVID-19 kuwasilishwa na China, chanjo ya kwanza ya majaribio imeanza.
-
Mmarekani na Mjerumani waongeza idadi ya walioingia na corona nchini Tanzania
Mar 18, 2020 12:59Idadi ya watu walio na ugonjwa wa COVID-19 imeongezeka nchini Tanzania baada ya vipimo vya raia wawili wa Marekani na Ujerumani kuthibitika kuwa wameambukizwa kirusi cha corona.
-
Tanzania; Mufti afunga madrasa zote, hali ya mgonjwa wa kwanza wa corona inaendelea vizuri
Mar 18, 2020 12:47Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewaagiza walimu wa madrasa kufunga madrasa zote nchini humo hadi utakapotangazwa utaratibu mpya.