-
Je, kwa nini uadilifu wa rangi ni nara tupu isiyotekelezeka huko Marekani?
May 28, 2025 06:02Miaka mitano baada ya kuuawa kikatili George Floyd, kijana Mmarekani mweusi, na polisi wa nchi hiyo, hatua na sera zilizoahidiwa kutekelezwa na serikali ya Marekani na makampuni mengi makubwa ya kiuchumi nchini humo kwa ajili ya hakikisha haki na usawa vinadumishwa kati ya jamii na watu wa rangi tofauti wa nchi hiyo zimesahaulika kabisa.
-
Kwa nini Trump anasema uongo kuhusu mauaji ya watu weupe nchini Afrika Kusini?
May 26, 2025 06:01Senzo Mchunu, Waziri wa Polisi wa Afrika Kusini amefichua uongo wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu mauaji ya wakulima wa kizungu nchini Afrika Kusini, na kusema: "Katika robo ya kwanza ya mwaka huu, jumla ya mauaji sita yanayohusiana na ardhi yalitokea Afrika Kusini, ambapo watano kati yao walikuwa watu weusi."
-
Hizbullah: Trump amenasa kwenye minyororo ya Israel, anapasa kujikomboa
May 26, 2025 02:50Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon ya Hizbullah, Sheikh Naim Qassem amesema kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump anapasa kujikomboa kutoka katika "mikono ya Israel ikiwa anataka kufikia malengo yake."
-
Kwa nini Trump ana vigezo vya kibaguzi kuhusu suala la nyuklia?
May 26, 2025 02:14Siku ya Ijumaa, Mei 23, Rais Donald Trump wa Marekani alitia saini dikri mpya kadhaa zinazolenga kuongeza uwezo wa uzalishaji wa nishati ya nyuklia, kupunguza kanuni za udhibiti na kupanua sekta ya urutubishaji wa madini ya urani nchini humo.
-
Je, kwa nini Trump amenyamazia kimya mauaji ya kimbari huko Gaza, huku akidai yametokea Afrika Kusini?
May 23, 2025 05:57Akizungumza siku ya Jumatano katika kikao chenye mvutano na Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini, Rais Donald Trump wa Marekani alichukua hatua ya kushanga kwa kumuonyesha video ya kiongozi mmoja wa mrengo wa kulia wa Afrika Kusini aliyetoa wito wa kuuawa wakulima weupe ili kuthibitisha madai yake kuhusu kile kinachodaiwa kuwa mauaji ya kimbari dhidi ya wazungu wa nchi hiyo.
-
Kwa nini Marekani inafuatilia suala la kuongeza bajeti za kijeshi za wanachama wa NATO?
May 22, 2025 06:47Marco Rubio, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema kufikia mkutano wa kilele wa NATO mwezi Juni mwaka huu, nchi zote wanachama wa muungano huo wa kijeshi zitakuwa zimekubaliana kutenga asilimia 5 ya pato lao la ndani kwa ajili ya ulinzi katika kipindi cha muongo mmoja ujao.
-
Malengo makuu ya utawala wa Trump ya kuandaa mpango wa kuwahamishia Libya Wapalestina
May 19, 2025 10:28Utawala wa Rais wa Marekani, Donald Trump, unaendeleza mpango wa kuwahamisha kabisa Wapalestina milioni moja kutoka Ukanda wa Gaza na kuwapeleka Libya barani Afrika.
-
Malengo ya safari ya Trump katika nchi tatu za Kiarabu
May 14, 2025 12:05Rais Donald Trump wa Marekani alianza safari ya siku tatu katika nchi tatu za kusini mwa Ghuba ya Uajemi, Saudi Arabia, Imarati (UAE) na Qatar kuanzia Jumanne, Mei 13.
-
Kurudi nyuma Marekani katika vita ilivyoanzisha dhidi ya Yemen; matunda ya Muqawama wa Wayemen
May 08, 2025 02:23Msemaji wa harakati ya Muqawama ya Ansarullah, Muhammad Abdul Salam amesema, Yemen haitaiacha Ghaza peke yake licha ya kufikiwa makubaliano ya kusitisha vita, na kwamba Marekani ndiyo iliyoomba kusitishwa mapigano.
-
Umoja wa Ulaya na juhudi za kupata washirika wapya wa kibiashara
May 07, 2025 02:19Vitendo vya Rais Donald Trump wa Marekani hususan kuanza kwa vita vya kibiashara na dunia ambavyo vimesababisha machafuko katika mfumo wa uchumi na biashara wa kimataifa, vimeufanya Umoja wa Ulaya kutaka kupanua na kuimarisha uhusiano wake na nchi za Bahari ya Pasifiki (Trans-Pacific).