-
Sala ya Idul Fitr yafutwa Uingereza kwa kuhofia hujuma ya wenye misimamo mikali
Jul 03, 2016 03:35Sala ya Idul Fitri imefutwa katika mji mwa Southampton Uingereza kufuatia ripoti kuwa makundi ya watu wenye misimamo mikali wenye chuki dhidi ya Waislamu wanapanga kuvuruga sala hiyo.