• Ndege ya Dubai yaanguka Russia, 62 wafariki

    Ndege ya Dubai yaanguka Russia, 62 wafariki

    Mar 19, 2016 00:01

    Watu 62 wamefariki dunia mapema leo baada ya ndege ya abiria ya Shirika la Fly Dubai kuanguka wakati ikijaribu kutua katika mji wa Rostov-on-Don kusini mwa Russia karibu na mpaya wa nchi hiyo na Ukraine.