-
Padri wa Kikatoliki atimuliwa kwa kuwalawiti vijana Italia
Mar 27, 2016 10:03Padri mmoja wa Kanisa Katoliki mjini Milan nchini Italia amesimamishwa kazi baada ya kubainika kuwa amekuwa akimhonga kijana mmoja barobaro ili afanye naye ulawiti.
Padri mmoja wa Kanisa Katoliki mjini Milan nchini Italia amesimamishwa kazi baada ya kubainika kuwa amekuwa akimhonga kijana mmoja barobaro ili afanye naye ulawiti.