-
Tehran yakanusha madai ya Marekani, yasema Washington inajaribu kuficha uhalifu wake dhidi ya Wairani
Jun 04, 2026 03:34Iran imepinga vikali tuhuma za Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kwamba Tehran inataka kuwaua maafisa wa Marekani, ikiikosoa Washington kwa kujaribu kujionyesha kama mwathirika huku ikificha rekodi yake ya uhalifu wa kivita dhidi ya watu wa Iran.
-
Wajibu wa Marekani kuilipa fidia Iran
Apr 29, 2016 10:32Waziri wa Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtaka Karibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aishinikize serikali ya Marekani iheshimu makubaliano ya kimataifa na iilipe fidia Iran.