-
Kiongozi: Wamagharibi wanataka kudhibiti eneo kupitia vita dhidi ya Uislamu
May 01, 2016 13:41Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema madola ya Magharibi yakiongozwa na Marekani yanataka kulidhibiti eneo la Magharibi mwa Asia kupitia vita vikubwa na vipana dhidi ya mrengo wa Uislamu.