• Leo ni siku ya Ashura ya kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume, Imam Husain AS

    Leo ni siku ya Ashura ya kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume, Imam Husain AS

    Sep 19, 2018 23:23

    Alkhamisi ya leo ya tarehe 20 Septemba 2018 Milaadia inasadifiana na mwezi kumi Muharram 1440 Hijria, siku ya Ashura ya kukumbuka alipouawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, mmoja wa mabwana wawili wa vijana wa peponi, Imam Husain AS.

  • Jumanne, 18 Septemba, 2018

    Jumanne, 18 Septemba, 2018

    Sep 17, 2018 23:25

    Leo ni Jumanne tarehe 8 Muharram 1440 Hijria sawa na Septemba 18, 2018.

  • Salum Bendera na ripoti ya kumbukumbu za Arubaini ya Imam Husain AS, Karbala Iraq

    Salum Bendera na ripoti ya kumbukumbu za Arubaini ya Imam Husain AS, Karbala Iraq

    Nov 11, 2017 07:42

    Jana Ijumaa mwezi 20 Mfunguo Tano Safar sawa na tarehe 10 Novemba 2017 ilisadifiana na Arubaini ya Imam Husain AS kwa mujibu wa kalenda ya Iraq. Mamilioni ya Waislamu kutoka kona mbalimbali za dunia wameshiriki katika kumbukumbu hizo zilizofikia kileleni jana huko Karbala Iraq. Mwenzetu Salumu Bendedra aliyetumwa maalumu kuakisi tukio hilo ametutayarishia ripoti ifuatayo

  • Mahojino na Sheikh Ghauth Nyambwa akiwa Karbala Iraq

    Mahojino na Sheikh Ghauth Nyambwa akiwa Karbala Iraq

    Nov 11, 2017 07:35

    Kumbukumbu za Arubaini ya Imam Husain ambazo hufikia kileleni mwezi 20 Mfunguo Tano Safar kila mwaka huko Karbala Iraq, zinawajumuisha pamoja mamilioni ya wapenzi wa Ahlul Bayt AS kutoka kona zote za dunia.