Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kombe la Dunia Qatar 2022

  • Iran yalaani jaribio la kuiondoa timu yake ya soka katika fainali za Kombe la Dunia

    Iran yalaani jaribio la kuiondoa timu yake ya soka katika fainali za Kombe la Dunia

    Oct 21, 2022 08:03

    Shirikisho la Soka la Iran limekosoa vikali jaribio la kuiengua timu ya taifa ya kandanda ya Jamhuri ya Kiislamu katika michuano ya Kombe la Dunia itakayoanza kutimua mavumbi mwezi ujao wa Novemba nchini Qatar.

  • Qatar yakataa ombi la kuanzishwa ubalozi wa Israel mjini Doha kwa ajili ya Kombe la Dunia

    Qatar yakataa ombi la kuanzishwa ubalozi wa Israel mjini Doha kwa ajili ya Kombe la Dunia

    Sep 13, 2022 05:58

    Serikali ya Qatar imetangaza kukataa ombi la utawala haramu wa Israel la kuanzishwa ubalozi mdogo wa muda wa Israel mjini Doha katika kipindi cha kufanyika fainali za soka za Kombe la Dunia.

  • Timu zote 5 za Afrika mara hii zinaongozwa na makocha wazawa katika kombe la dunia Qatar

    Timu zote 5 za Afrika mara hii zinaongozwa na makocha wazawa katika kombe la dunia Qatar

    Sep 06, 2022 02:32

    Kombe la Dunia la Qatar 2022 litakuwa la kihistoria kwa mchezo wa soka barani Afrika, kwa sababu nchi zote tano za bara hilo zinazoshiriki katika michuano ya kuwania kombe hilo ambazo ni Morocco, Senegal, Cameroon, Tunisia na Ghana zitaongozwa na makocha Waafrika.

  • Iran yatafakari kuwapokea wageni wa Kombe la Dunia la Qatar

    Iran yatafakari kuwapokea wageni wa Kombe la Dunia la Qatar

    Apr 10, 2022 02:47

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imewasilisha pendekezo la kuwaruhusu raia wa kigeni watakaofika Qatar kama watazamaji wa Kombe la Dunia la FIFA 2022 kuingia Iran bila kulipia visa.

  • Rais Raisi aitumia salamu timu ya taifa ya soka ya Iran katika mechi muhimu ya kombe la dunia

    Rais Raisi aitumia salamu timu ya taifa ya soka ya Iran katika mechi muhimu ya kombe la dunia

    Jan 26, 2022 23:18

    Rais Ebrahim Raisi ametuma salamu maalumu kwa timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iliyoko kambini kujiandaa na mechi muhimu na Iraq ya kuwania tiketi ya kucheza mashindano ya soka ya kombe la dunia ya mwaka huu wa 2022 nchinii Qatar.

  • Algeria yawatunuku watu wa Palestina Kombe la Mataifa ya Waarabu

    Algeria yawatunuku watu wa Palestina Kombe la Mataifa ya Waarabu

    Dec 19, 2021 04:47

    Timu ya Taifa ya kandanda ya Algeria imefanikiwa kushinda mashindano ya kwanza ya Kombe la Mataifa ya Waarabu yaliyofanyika nchini Qatar na kuwatunuku Wapalestina kombe hilo.

  • Russia yafungiwa kushiriki michezo ikiwemo Olimpiki 2020 na kombe la dunia 2022

    Russia yafungiwa kushiriki michezo ikiwemo Olimpiki 2020 na kombe la dunia 2022

    Dec 09, 2019 23:24

    Wakala wa Kimataifa wa Kupambana na Dawa za Kusisimua Misuli (WADA) limeifungia Russia kwa miaka minne kutoshiriki michuano mikubwa duniani ikiwemo michezo ya Olimpiki ya mwaka ujao wa 2020 itakayofanyika Tokyo Japan na Kombe la Soka la Duniani litakalofanyika nchini Qatar mwaka 2022.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS