• Rais Mugabe aidhinisha 'sarafu mpya' Zimbabwe

    Rais Mugabe aidhinisha 'sarafu mpya' Zimbabwe

    Nov 02, 2016 00:54

    Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ametumia mamlaka ya ofisi yake kutoa dikrii inayoidhinisha matumizi ya sarafu mpya nchini humo, licha ya asasi za kiraia kusisitiza kuwa uamuzi huo ni kinyume cha sheria.