• Chaguzi za Bunge na Baraza la Wataalamu kufanyika leo Iran

    Chaguzi za Bunge na Baraza la Wataalamu kufanyika leo Iran

    Feb 25, 2016 22:19

    Mkuu wa Tume ya Uchaguzi ya Iran amesema kuwa maandalizi na taratibu zote za uchaguzi wa kumi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) na wa tano Baraza la Wataalamu zimekamilika.

  • Iran iko tayari kwa ajili ya uchaguzi wa Bunge na Baraza la Wataalamu

    Iran iko tayari kwa ajili ya uchaguzi wa Bunge na Baraza la Wataalamu

    Feb 25, 2016 12:00

    Muda wa kampeni za uchaguzi wa Bunge na Baraza la Wataalamu wanaomchagua Kiongozi Mkuu wa Iran umemalizika mapema leo saa mbili asubuhi tarehe 25 Februari na wananchi wa Iran kesho Ijumaa wataelekea kwenye masanduku ya kupigia kuwachagua wawakilishi wao katika zoezi litakaloanza asubuhi na kuendelea kwa masaa kumi.