-
Israeli imetoa matibabu kwa magaidi 2,100 kutoka Syria
Apr 01, 2016 07:52Utawala wa Kizayuni wa Israel hadi sasa umetoa matibabu kwa magaidi zaidi ya 2,100 wanaopigana ndani ya Syria kuiangusha serikali halali ya nchi hiyo.
Utawala wa Kizayuni wa Israel hadi sasa umetoa matibabu kwa magaidi zaidi ya 2,100 wanaopigana ndani ya Syria kuiangusha serikali halali ya nchi hiyo.